Wednesday, 21 June 2017

Chama cha Walimu chawaombea afueni walimu wenye vyeti feki


Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Kilimanjaro, kimeiomba Serikali kuwalipa mafao walimu waliobainika kuwa na vyeti feki wakidai kuwa walimu hao wamelitumikia taifa kwa muda mrefu
Read more »

Labels:

Tulivyosema kwenye Madini tunaibiwa tulikamatwa- Dk Kigwangalla


Mbunge wa Nzega Vijijini, Dk. Hamisi Kigwangalla ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ameweka wazi kuwa daima ataendelea kupambana dhidi ya rasilimali za umma, kwani amekuwa mwanaharakati kwa muda mrefu.
Read more »

Labels:

Hii ndio Sababu ya Wabunge wa Upinzani Kumsusia Spika Ndugai Futari



WABUNGE wa kambi ya upinzani bungeni, jana waliamua kumsusia futari, Spika wa Bunge, Job Ndugai,
Read more »

Labels:

CHUO CHA TUMAINI JIPYA MAFINGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO


Mkuu wa chuo cha Afya TUMAINI JIPYA MAFINGA ana huraha ya kuwatangazia kuwa chuo
kimeanza kupokea maombi kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 katika kozi zifuatazo.
Read more »

Labels:

Askari Auwawa Gari lao lachomwa moto, Kibiti



Watu wasiojulikana wamemuua askari wa Usalama Barabarani katika Kijiji cha Bungu B wilayani Kibiti, mchana huu.
Read more »

Labels:

Marekani: Walimu wapewa bunduki Colorado Wednesday, June 21, 2017

Walimu wanapewa mafunzo ya kubeba bunduki wakiwa shuleni katika jimbo la Colorado nchini Marekani ili kuwalinda watoto kama hatua baada ya mauaji ya watoto mwaka 2012.

Mafunzo hayo ya siku tatu yanayohusu bunduki na ya kutoa matibabu yalianza siku ya Jumanne katika kaunti ya Weld..

Watu 17 ambao watapewa bunduki hizo tayari wameshiriki mafunzo hayo.

Mpango huo ni wa kuruhusu watu wa kujitolea kuingia shuleni wakiwa na bunduki chini ya sheria ya Marekani ya kubeba bunduki.

Walimu walipelekwa kwa majiribio ya kupiga risasi karibu na Denver ambapo walijaribiwa uwezo wao wa kutumi bunduki.

Lakini hatua hiyo imekasirisha makundi kama ya Safe Campus Colorado, ambayo yanawashauri wafuasi kushinikiza mamlaka kusaidia kuondoa bunduki shuleni

Labels:

Wasomi acheni kulia kulia - Nikki wa Pili

Rapa msomi kutoka Weusi Kampuni, Nikki wa Pili amewataka wahitimu waache kulia na kulalamikia serikali kwa kukosa ajira na badala yake wanapaswa watumie uthubutu wao katika yale waliyojifunza darasani.
Read more »

Labels:

Diamond afunguka kuhusu mimba ya Hamisa Mobeto

Mwimbaji wa Bongofleva kutoka WCB Diamond Platnumz amefunguka kuhusu story ambayo ilimake headline akidaiwa kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto ambapo inadaiwa amempa ujauzito Mwanamitindo na kuonekana kuwa karibu na mama yake Diamond.
Read more »

Labels:

Marekani yaitungua ndege nyingine ya Syria

Marekani imeendeleza ubabe wake wa kuzitungua ndege za kijeshi za Syria mara baada ya kuitungua ndege nyingine isiyo na Rubani kusini mwa nchi hiyo.
Read more »

Labels:

Mfanyabiashara apandishwa kizimbani kwa kukutwa na nguo za Jeshi la Wananchi Tanzania (Jwtz)


MFANYABIASHARA wa Kariakoo, Casto  Ngogo (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na nguo za jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) za milioni 50.
Read more »

Labels:

Rais Dk.Shein uso kwa uso na Mkuu Wa Jeshi La Polisi Tanzania Simon Sirro

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Inspekta Jenerali  wa Polisi Tanzania Simon Nyakoro Sirro alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha kwa Rais.
Read more »

Labels:

Rais Magufuli amwambia kigogo wa Dawasa ajipange kustaafu

Pwani. Rais John Magufuli amemtaka Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasa) Archado Mtalemwa ajiandae kustaafu kutokana na mapungufu mengi ambayo Rais amesema ameyaona katika mamlaka hiyo.

Rais ameyasema hayo leo(Jumatano) akiwa katika ziara yake ya siku tatu mkoani Pwani na alitumia fursa hiyo kuzungumzia miradi ya maji na ulipaji wa maji kwa taasisi za serikali.

“Ndugu yangu Mtalemwa, naongea kwa lugha nzuri hapa, nikuombe tu kuwa ustaafu mapema, inawezekana Waziri wa Maji ni rafiki yako, kama ilivyo kwa mawaziri wengine, lakini nadhani huu ni wakati mzuri,” amesema na kuongeza;

“Pamoja na kazi zako nzuri, it’s your time to go.”

 Amezungumzia kero mbalimbali za maji na kusema kuna upotevu mkubwa wa maji

Labels:

DC Ally Happi asimamisha shughuli za ujenzi kwa siku 30

Mabwepande. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi ameagiza kusimamishwa kwa shughuli za ujenzi kwa siku 30 (sawa na saa 720) ili kupisha uhakiki wa maeneo ya mashamba na viwanja, katika maeneo ya Mji Mpya, Mbopo na Mabwepande.
Read more »

Labels:

Mwanasheria Mkuu TBS akamatwa tena baada ya kuachiwa huru

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Baptister Bitaho (54) aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka matatu ikiwamo kuishi na kufanya kazi nchini bila kibali.
Read more »

Labels:

WAPINZANI WAMPELEKA SPIKA NDUGAI MAHAKAMANI


Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliosimamishwa kuhudhuria Bunge kwa mwaka mmoja, Ester Bulaya wa Bunda na Halima Mdee wa Kawe, wamemfikisha mahakamani Spika wa Bunge, Job Ndugai, wakipinga kusimamishwa kwao.

Read more »

Labels:

JESHI LA POLISI LIMETAKIWA KULIPA FIDIA WALEMAVU KWA KUWADHALILISHA

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Kikishirikiana na Taasisi ya za Binadamu na Maendeleo ya Kiuchumi kwa Watu Wenye Ulemavu wamelaani vikali kitendo kilichofanywa na Jeshi la Polisi cha kuwapiga na kuwadhalilisha walemavu wakati wakiwa kwenye madai yao ya msingi. Hayo yamesemwa leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya kituo hicho yaliyopo kijitonyama jijini dar es salaam.
Read more »

Labels:

MAJIBU YA SERIKALI KUHUSU MFUNGWA MWANAMKE KUPATA UJAUZITO AKIWA GEREZANI


BUNGE limeelezwa kuwa ni vigumu mfungwa mwanamke wa kifungo cha muda mrefu kupata mimba akiwa gerezani.

Read more »

Labels:

Tuesday, 20 June 2017

WANANCHI BUKOMBE WAOMBA RAIS MAGUFULI AONGEZEWE MUDA WA KUKAA MADARAKANI



Wananchi wa vijiji vya Bulangwa na Katente mkoani Geita,wameliomba Bunge la Tanzania kufanya marekebisho ya muda wa ukomo wa urais kutoka miaka kumi ya sasa hadi miaka ishirini ili kumuwezesha Rais Dk.John Pombe Magufuli kuendelea kubakia madarakani.
 


Wananchi hao walitoa ushauri huo jana katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mbunge wa jimbo la bukombe mh. Dotto biteko kwa ajili ya kumpongeza Rais Dk.John Pombe Magufuli kwa namna alivyosimamia sekta ya madini,mkutano ambao ulihudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Mh.Costantine Kanyasu.
 


Akiwahutubia wananchi,Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini Mh. Dotto Biteko,alisema kazi ya kupigania rasilimali za taifa inayofanywa na Rais Dk. John Pombe Magufuli si ya lelemama,huku Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Mh. Kanyasu akisema serikali ya awamu ya tano haiwachukii wawekezaji, bali inawachukia waporaji wa raslimali za nchi.
 


Ripoti ya kamati ya pili ya mchanga wa madini wa Makinikia,iliyowasilishwa Juni 12 mwaka huu kwa Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Prof.Nehemiah Ossoro ilibaini taifa kupoteza shilingi Trilioni 252 kupitia usafirishaji wa mchanga wa madini ya makinikia nje ya nchi kuanzia mwaka 1998 hadi kufikia mwaka huu,huku ikiwahusisha baadhi ya mawaziri wa zamani wa nishati na madini waliohusika kuingia mikataba mibovu iliyoisababishia serikali hasara

Labels:

POLISI MWANZA WAMTIA MBARONI MTU MMOJA KWA KOSA LA KUMWUA MTOTO WAKE

Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Nuhu Mgeta (35)  mkazi wa kijiji
Read more »

Labels:

MWIGULU NCHEMBA AWAPA MAKAVU WANAOMPINGA RAIS MAGUFULI NA KUWATETEA WANAOIBA RASILIMALI ZA NCHI


 Maajabu
Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha Marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu (makinikia), Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amesema wezi hao walitafuta kichaka cha kutaja viongozi waliostaafu ili kuzuia serikali iache kufatilia sakata hilo.
Read more »

Labels:

Mganga aua, aondoka na kiganja cha mkono

Mganga aua, aondoka na kiganja cha mkono

WATU watatu wamefikishwa mahakamani akiwemo mganga wa kienyeji kwa tuhuma za mauaji ya Elizabeth Charles (45), mkazi wa kijiji cha Tambalale kata ya Nsimbo wilayani hapa.
Read more »

Labels:

MEYA WA UBUNGO AKAMATWA NA POLISI

DAR ES SALAA: Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano hata hivyo sababu za kuchukuliwa kwake bado hazijawekwa wazi.

Read more »

Labels:

NEWS ALERT: SHABIKI WA YANGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI



Globu ya Jamii imepokea taarifa ya kifo cha shabiki maarufu wa timu ya Yanga Ally Mohamed almaarufu kwa jina la Ally Yanga. 

Read more »

Labels:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMA TANO JUNE, 21,2017





Magazetini leo Jumatano June 21, 2017

Read more »

Labels:

Monday, 19 June 2017

Balaa tena Shinyanga: KIJANA MWENDESHA BAISKELI 'DALADALA' AJINYONGA JUU YA MTI KWA UGUMU WA MAISHA

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Muliro Jumanne Muliro

Matukio ya watu kuchukua maamuzi ya kujiua katika manispaa ya Shinyanga yanazidi kushika kasi leo Jumapili June 18,2017 majira ya saa 10 alfajiri kijana aitwaye Paulo Ezekiel (17) mkazi wa mtaa wa Mazinge kata ya Ndembezi aliyekuwa anafanya kazi ya kuendesha baiskeli maarufu 'daladala 'amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba juu ya mti jirani na nyumba yao. 
Read more »

Labels:

WAZIRI NCHEMBA ATOA SIRI SABABU YA MKAPA NA KIKWETE KUHUSISHWA SAKATA LA MAKINIKIA

Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha Marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu (makinikia) kwani katika ripoti zote mbili hakuna sehemu ambayo imewataja wastaafu kuhusika.
W
Read more »

Labels:

WAZIRI MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA SECAD WENYE THAMANI YA BILIONI 47



Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. 

Jumanne Maghembe kwa kushirikiana na Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Egon Konchanke amezindua Mradi wa Uhifadhi na Maendeleo ya Ikolojia ya Pori la Akiba la Selous SECAD (Selous Ecosytem 
Read more »

Labels:

WAZIRI NCHEMBA ATOA SIRI SABABU YA MKAPA NA KIKWETE KUHUSISHWA SAKATA LA MAKINIKIA

Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha Marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu (makinikia) kwani katika ripoti zote mbili hakuna sehemu ambayo imewataja wastaafu kuhusika.
Read more »

Labels:

Saturday, 17 June 2017

MBUNGE WA KIBAHA MJINI KOKA, AIKABIDHI SERIKALI VIFAA VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SH.MILIONI 400


Akizungumza katika hafla hiyo, Mbunge Koka, alisema kuwa alifanikiwa kupata msaada wa vifaa hivyo kutoka kwa rafiki zake waishio nchini Marekani, wakati alipokwenda katika shughuli zake za kibiashara, ambapo walimhakikishia kupata vifaa hivyo kwa kuchangia gharama za usafirishaji hadi kuingia nchini.
Read more »

Labels:

HISTORIA YA JESHI LA POLISI TANZANIA


HISTORIA YA JESHI LA POLISI – TANZANIA

1885; Wajerumani walifika Tanganyika ili kutawala, waliunda kikundi cha watu kilichofanya kazi ya Polisi.

Read more »

Labels:

TAARIFA KWA WALIMU WANAOTAKA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI

TAARIFA KWA WALIMU WANAOTAKA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI



Tokeo la picha la SHULE YA SEKONDARI




Habari yako,

Je,wewe ni mwalimu unaetaka kuhama kituo chako cha kazi kwa kubadilishana na mwalimu mwenzako?basi ufumbuzi umepatikana.
 
Read more »

Labels:

Breaking News; AJALI MBAYA YA GARI NA DALADALA YA BASIKELI IMATOTOKEA SHINYANGA {PHOTO}

Read more »

Labels:

Breaking News!! BASI LA WIBONELA LA DAR - KAHAMA LIMEGONGANA NA BASI LA TAKBIR KIBAIGWA


Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba basi la Wibonela Express lenye namba za usajili T158 CEX lililokuwa linatoka Dar es salaam kuelekea
Read more »

Labels:

Friday, 16 June 2017

SELEMAN KAJANA ATOA USHAURI WA KOZI ZA KUSOMA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA KULINGANA NA TAHASUSI ZAO NA UFAULU

Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua ktk level ya degree 
Read more »

Labels:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNE 17, 2017



Read more »

Labels:

Breaking News!! BASI LA HARMANDOS LATUMBUKIA DARAJANI LAUA NA KUJERUHI



Habari zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Manyara zinasema kuwa watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.
Read more »

Labels:

BREAKING NEWS:TAMISEMI IMEFANYA MABADILIKO YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA SABABU MAALUM 2017/2018

 

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga/Kubadilishwa kidato cha Tano Mwaka 2017 Sababu Maalum

KWA TAARIFA KAMILI NA KUONA MAJINA MAPYA NA YALIYOBADILISHWA
 

Labels: