Breaking News; AJALI MBAYA YA GARI NA DALADALA YA BASIKELI IMATOTOKEA SHINYANGA {PHOTO}
KAMA KAWAIDA YETU MKALIMANGI ANAENDELEA KUKULETEA MATUKIO YALIYOJIRI
Ambapo imedaiwa ajali hiyo chazo chake ni mwendo kasi wa dreva ya Hiace ikiwa mwendesha daladala alibabaika nakutoka kwenye upande wake wakati wakuvuka barabara.
Hata hivyo katika ajali hiyo mwendesha daladala aliumia vibaya maeneo ya kichwani na hali yake siyo nzuri wasamalia wamemkimbiza katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.
Hapa Trafiki akiwa na baadhi ya Mashuhuda wa ajali hiyo wakiendelea kuangalia gari.
Gari limeacha njia nakuelekea mtaroni.
Hapa askari wa usalama barabarani akimaliza kupima ajali ilivyotokea.
Hii hapa ni baiskeli ikiwa imeharibika vibaya.
Ha
Hawa hapa ni Mashuhuda wa ajali wakitafakari namna ajali ilivyotokea.
Labels: HABARI
posted by prof semeka @ June 17, 2017
0 Comments
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home