SELEMAN M KAJANA ( PROF. SEMEKA) au MWL SELEMAN KAJANA
SELEMAN M KAJANA ( PROF. SEMEKA)
Seleman m Kajana ni kijana wa Ndg EDIGA DAUD KAJANA MARINGO na MECTRIDA MANUMBU akiwa mtoto wa kwanza kuzaliwa kwa pande zote mbili yaani kwa baba na mama. Alizaliwa tarehe 20/08/1993 katika kijiji cha Busambara-Kibara-BUNDA-MARA kwa wakati huo licha ya sasa kijiji hicho Kubadilishwa jina na kuitwa CHITENGULE.
ELIMU
Seleman m Kajana alilewa na bibi yake kizaa mama bi MERESIANA MANUMBU hadi pale alipofikisha umri wa kwenda shule . Licha ya kuchelewa sana alianza shule mwaka 2002 na kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi KITENGULE iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara mwaka 2008.
Baada ya kuhitimu elimu ya msingi alichaguliwa kujiunga na elimu ya upili ( secondary school) shule ya ufundi Musoma( MUSOMA TECHNICAL SCHOOL) kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa familia hakuweza kusoma katika shule hiyo badala yake alijiunga na shule ilkiyoko karibu na kwao ya CHITENGULE SECONDARY SCHOOL mwaka 2009 ambapo alihitimu kidato cha nne mwaka 2012.
Baada ya kuhitimu kidato cha nne alichaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (form 5&6) shule ya upili ya juu ya Sengerema ( SENGEREMA HIGH SCHOOL) mwaka 2013 akisoma Tahasusi ya HKL ambapo alihitimu kidato cha sita mwezi Mei 2015.
Alijiunga na elimu ya chuo kikuu akichukua Shahada ya kwanza ya elimu kwa watu wenye mahitaji maalumu ( Bachelor of Education In special needs, BED-SPED) kuanzia Nov, 2015-2018 chuo kikuu cha Dodoma
DINI
Seleman m Kajana ni mkristo na muumini wa kanisa la seventh day adventist SDA ALIYEBATIZWA HUKO DODOMA KATI TAREHE 9/12/2017
SIFA ZA ZIADA
Ø Alijiunga na mafunzo ya msingi wa kompyuta katika kituo cha mafunzo ya compyuta kazilankanda-Ukerewe (Kazilankanda Computer Training Centre KC.T.C)mwaka 2012-2013
Ø Alijiunga na Mafunzo ya awali ya kijeshi katika kambi ya Mafinga J.K.T ambapo alitunukiwa cheti cha mafunzo hayo mwaka 2015
Ø Ni mpenzi wa siasa na nyimbo za dini (interested in both politics and gospel tracks
CONTACTS:
PHONE NUMBER:0744112335
EMAIL: seremankajana@gmail.com
ADDRESS: P. O. BOX 29 BUNDA.
Labels: KUNIHUSU
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home