CALL FOR APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO UNDERGRADUATE PROGRAMMES 2017/2018
THE UNIVERSITY OF DODOMA

CALL FOR APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO DEGREE AND NON
DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2017/2018
Labels: HABARI
Labels: HABARI
Labels: HABARI
WAKATI lile sakata Linalomuhusu kijana Said Mrisho aliyetobolewa macho na mtu aitwaye, Salum Njwete ‘Scorpion’ kumtelekeza mkewe, Stara Sudi ‘Mama D’ na watoto wanne, likiwa bado bichi, jipya jingine limeibuka ambapo wawili hao wameanza kugawana mali.
Labels: HABARI
MUUGUZI anayefanya kazi Kituo cha Afya Kata ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Damian Mgaya (26) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumbaka binti wa miaka 18 mkazi wa kitongoji cha Mwagala B, Kijiji cha Mwagala.
Labels: HABARI
NI wingu zito. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya maombi ya Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kukwama, huku wakilazimika kuzima rasmi mitambo yao ya uzalishaji umeme.
Labels: HABARI
Labels: HABARI
CHAMA cha Wananchi (CUF) Kata ya Makurumla wilayani Ubungo, kimetangaza mapambano na mbunge wa jimbo hilo, Saed Kubenea (Chadema).
Labels: HABARI
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji, Onesmo Lyanga.
Labels: HABARI
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Arusha umesema kauli iliyotolewa na Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa ya kuwahusisha viongozi wa UVCCM na CCM kuwanunua madiwani wa Chadema waliojizulu, ni ya uongo.
Labels: HABARI
Labels: MAKALA
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka wazi makusanyo yake ya fedha kwa kipindi cha mwaka 2016/17 kwa kufanikiwa kukusanya Sh trilioni 14.4.
Labels: HABARI