PROF.SEMEKA AWATAKIA LIKIZO NJEMA WANAFUNZI WOTE WA CHUO KIKUU CHA DODOMA
Prof. SEMEKA wa chuo kikuu cha Dodoma ameweatakia likizo na safari njema wanajumhiya ya chuo kikuu cha Dodoma wanao tegemea kuanza likizo yao mapema tarehe 15-07-2017.
Pia katoa ushauri kwa wanajumhiya hao kuwa makini na mambo yasiyo na tija katika kipindi hiki ambacho wengi wao wanategemea kuanza mafunzo kwa vitendo ( yajulikanayo kama field)
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home