Monday, 17 July 2017

undu Lissu Amvaa Rais Magufuli na Mwinyi


Leo Julai 17 akizungumza na Waandishi Habari Jijini Dar es salaam, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema anachoendelea kufanya Rais John Magufuli hawezi kukwepa kuitwa au kupewa sifa ya "Dikteta"

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI


Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home