Tuesday, 19 September 2017

NACTE:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU NA AFYA CHETI NA DIPLOMA 2017/2018

KUJUA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU 2017/18 >>>>>> BONYEZA HAPA

Uhakiki wa Udahili wa Wanafunzi wanaotarajia kujiunga kwenye vyuo vya Serikali, Afya na Ualimu Umekamilika, Unaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi huu kupitia kwenye kurasa binafsi kwa kubofya hapa, Mfumo utafunguliwa tena hivi karibuni kuruhusu awamu ya pili kwa waombaji wapya na wale wenye sifa lakini hawakuchaguliwa. Asante.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home