Morata Kutua Old Trafford Kesho Jumatatu kwa Ajili ya Kupimwa Afya.
Mshambuliaji huyo wa Real Madrid uhamisho wake kwenda Old Trafford umechochewa na kukwama kwa usajili wa Antoine Griezmann kufuatia Fifa kuifungia Atletico Madrid kusajili.
Uhamisho huo umekuwa rahisi baada ya Man United kuthibisha kuachana na Zlatan Ibrahimovic msimu huu.
Morata alianza maisha yake ya soka la kulipwa akiwa chini ya kocha wa sasa Man United, Jose Mourinho, alipokuwa kifundisha Real Madrid mwezi Desemba 2010 alipocheza dhidi ya Real Zaragoza.
Labels: MICHEZO
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home