SELEMAN M KAJANA ( PROF. SEMEKA)
Seleman m
Kajana ni kijana wa Ndg EDIGA DAUD
KAJANA MARINGO na MECTRIDA MANUMBU akiwa mtoto wa kwanza kuzaliwa kwa pande zote
mbili yaani kwa baba na mama. Alizaliwa tarehe 20/08/1993 katika kijiji cha
Busambara-Kibara-BUNDA-MARA kwa wakati huo licha ya sasa kijiji hicho
Kubadilishwa jina na kuitwa CHITENGULE.
ELIMU
Seleman m Kajana
alilewa na bibi yake kizaa mama bi MERESIANA MANUMBU hadi pale
alipofikisha umri wa kwenda shule . Licha ya kuchelewa sana
alianza shule mwaka 2002 na kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi KITENGULE
iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara mwaka 2008.
Baada ya
kuhitimu elimu ya msingi alichaguliwa kujiunga na elimu ya upili ( secondary
school) shule ya ufundi Musoma( MUSOMA TECHNICAL SCHOOL) kwa sababu zilizo nje
ya uwezo wa familia hakuweza kusoma katika shule hiyo badala yake alijiunga na
shule ilkiyoko karibu na kwao ya CHITENGULE SECONDARY SCHOOL mwaka 2009 ambapo
alihitimu kidato cha nne mwaka 2012.
Baada ya
kuhitimu kidato cha nne alichaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na
sita (form 5&6) shule ya upili ya juu ya Sengerema ( SENGEREMA HIGH SCHOOL)
mwaka 2013 akisoma Tahasusi ya HKL ambapo alihitimu kidato cha sita mwezi
Mei 2015.
Alijiunga na elimu ya chuo kikuu akichukua Shahada ya
kwanza ya elimu kwa watu wenye mahitaji maalumu ( Bachelor of Education In
special needs, BED-SPED) kuanzia Nov, 2015-2018 chuo kikuu cha Dodoma
DINI
Seleman m Kajana
ni mkristo na muumini wa kanisa la seventh day adventist SDA ALIYEBATIZWA HUKO DODOMA KATI TAREHE 9/12/2017
SIFA ZA ZIADA
Ø Alijiunga na
mafunzo ya msingi wa kompyuta katika kituo cha mafunzo ya compyuta
kazilankanda-Ukerewe (Kazilankanda Computer Training Centre KC.T.C)mwaka
2012-2013
Ø Alijiunga na
Mafunzo ya awali ya kijeshi katika kambi
ya Mafinga J.K.T ambapo alitunukiwa cheti cha mafunzo hayo mwaka 2015
Ø Ni mpenzi wa siasa na nyimbo za dini (interested in both
politics and gospel tracks
CONTACTS:
PHONE
NUMBER:0744112335
EMAIL: seremankajana@gmail.com
ADDRESS: P. O. BOX 29
BUNDA.
Labels: KUNIHUSU
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home